CHAT ROOM

Monday 31 March 2014

RIDHIWANI KIKWETE ASAMBARATISHA NGOME YA CHADEMA






Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete asambaratisha ngome ya Chadema hapo Jimboni ...nakuwafanya Chadema wakose watu waamua kufanya mikutano kwenye Magulio (masoko)ili waonekane wamepata watu wananchi wamewashutukia   Ccm oyeee Ridhiwani Oyeee Kura za ndio ...Umepata Inshalaah

MHE MFUTAKAMBA AKITETA JAMBO NA RAIS J K KIKWETE